Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Bahati maarufu kwa uuzaji wa
mifuko ya plastiki maeneo ya stand kuu ya mabasi Bukoba amekutwa
kajinyonga juu ya mti maeneo ya ufukwe wa Spice Motel
majira ya saa nane mchana ..
Taarifa za awali kutoka kwa watu
waliokuwa katika tukio hilo zinasema kuwa , kabla ya kifo cha, marehemu alionekana akiwa na mafurushi ya vitu na
alikuwa akifua
↧