Wema Isaac Sepetu ambaye huwa haishiwi habari, ameibuka na jipya
akidai kuwa akifa leo au kesho basi aagwe Uwanja wa Taifa jijini Dar..
Miss Tanzania huyo wa 2006/07 ambaye anakimbiza kwenye sinema za
Kibongo alifunguka hayo wikiendi iliyopita wakati akiwa safarini
kuelekea jijini Arusha ambapo msanii anayemilikiwa na kampuni ya Wema ya
Endless Fame Production aliyetajwa kwa jina
↧