UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri
Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva,
Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa
kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka..
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, Jide au Lady Jaydee
alifikia uamuzi huo baada ya Gardner kupata kazi ya kutangazia
↧