MSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’
amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria
ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu.
Akiongea na mwandishi wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma
aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia
hatua ya kufikishwa polisi na mwenye mke lakini
↧