Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono
baadhi ya Wananchi (hawapo pichani),walioshirikia matembezi ya
mshikamano yaliyoanzia viwanja vya Soweto,kuelekea kwenye bustani
iliyopo nje ya uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya mapema leo
asubuhi,ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka
37 kuzaliwa kwa chama cha CCM.
↧