MBUNGE wa Songea Mjini, Dk. Emmanuel Nchimbi (CCM), amewataka
madiwani na wananchi wa jimbo hilo kumpa ushirikiano wa dhati ili
akamilishe ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
uliopita.
Wito huo aliutoa jana wakati akizungumza na wananchi mbalimbali
waliokwenda kumpokea uwanja wa ndege, nje ya ofisi za CCM za mkoa wa
Ruvuma na kusema hivi sasa atafanya kazi kwa
↧