Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
****
Askari
polisi watano mkoani Dodoma wamefariki dunia papohapo katika ajali ya
gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya
Dodoma – Morogoro eneo la Mtumba Center, Kata ya Mtumba Tarafa ya
Kikombo Manispaa ya Dodoma, ambapo gari namba T.770 ABT Toyota Corolla
lililokuwa likiendeshwa na Askari namba H. 3783 PC
↧