NA BASHIR NKOROMO, MBEYA
MWENYEKITI
wa CCM, Rais
Jakaya Kikwete leo amevunja ukimya na kuzungumzia suala la mawaziri
waliotuhumiwa na wananchi kuwa mizigo wakati wa ziara za Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana na baadhi ya wajumbe wa sekretarieti katika
mikoa kadhaa nchini mwishoni mwa mwaka jana.
"Najua
wapo baadhi ya watanzania, walitaka
Mawaziri waliotajwa kuwa ni mizigo
↧