MREMBO mmoja mkazi wa Mabibo Makutano jijini Dar es Salaam (jina lake
halikupatikana) mwishoni mwa wiki iliyopita alinusurika kifo baada ya
kuvamiwa na kudundwa baada ya kudaiwa kukwapua simu ya mwanaume na
kuificha sehemu zake za siri.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, awali mrembo huyo alikuwa
akila bata na mwanaume aitwaye Hashim kwenye Baa ya Jassun Inn iliyopo
maeneo ya
↧