Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, imewahukumu watu 29
kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja ama kulipa faini ya Sh400,000
baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kuandamana bila kibali na kuvunja
nyumba za ibada wakati wa vurugu za kugombea kuchinja katika Mji wa
Tunduma wilayani Momba mwaka jana.
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Rahimu Mushi
akisoma hukumu hiyo alisema
↧