MJADALA kuhusu lugha ya kutumia kufundishia shuleni umepamba moto, ambapo baadhi ya wabunge wamejitokeza kupinga Kiingereza kutumika kufundishia shule za msingi mpaka vyuo vikuu.
Wakati wabunge hao wakiwa na msimamo huo, jana Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, alisema Serikali haijafikia uamuzi wa kuruhusu Kiingereza kutumkika kuanzia shule za
↧