Ikulu imetaka kufungwa kwa mjadala wa kuhusu kurudishwa kwa
mawaziri wanaodaiwa kuwa ni mizigo kwenye Baraza la Mawaziri na badala
imetaka waachwe wafanye kazi.
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu
alisema kuendeleza mjadala huo ni kupoteza muda, kwani Rais Jakaya
Kikwete alishamaliza kazi yake.
Rweyemamu alisema Rais ndiye mwenye
↧