MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Edward
Lowassa, amesema anakerwa na tabia ya serikali kufungia magazeti na
amemfunda Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma
Nkamia na kumtaka amalize vifungo visivyo na mwisho vya baadhi ya vyombo
vya habari nchini.
Pia waziri mkuu huyo wa zamani, amemtaka Nkamia ahakikishe katika
majukumu yake mapya ya
↧