SERIKALI
imeamua kupunguza kwa kiasi kikubwa bei ya kuunganisha umeme majumbani
na kufikia sh. 27,000/ kwa wanavijiji wanaoishi kwenye maeneo ambayo
bomba la gesi linapita.
Hatua
hiyo imetangazwa jana (Jumapili, Januari 26, 2014), na Waziri wa Nishati
na Madini, Prof. Sospeter Muhongo wakati akizungumza na wanakijiji wa
Mangaka wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara kabla ya
↧