KUNDI la watu ambao inadaiwa kwamba wamekula yamini ya kumchafua
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe kwa namna yoyote ile,
wamemuonjesha machungu Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha,
Catherine Magige.
Zitto, baada ya msululu wa tuhuma ambazo nyingi zilibainika kupikwa
makusudi ili kuichafua taswira yake mbele ya jamii, sasa hivi
anahusishwa kutoka kimapenzi na
↧