MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba,
amelishushia tuhuma nzito Baraza la Mawaziri, baada ya kudai baadhi ya
mawaziri walioteuliwa hawana elimu ya kutosha.
Akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Profesa Lipumba alisema
mmoja wa mawaziri hao ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya.
Alisema
chama chake, kina wasiwasi na elimu ya Waziri Mkuya,
↧