CHADEMA kutikisa Nchi Nzima….Helikopta tatu kurushwa Angani Siku 14 Mfululizo.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuanzia leo, kinarusha helkopta tatu kwa siku 14 mfululizo, katika kutekeleza kampeni iliyopewa jina la Operesheni Pamoja Daima (ODB) itakayoendeshwa katika...
View ArticleKituko: Mahabusu mkoani Mwanza ajipaka kinyesi mwili mzima akijaribu kutoroka
Mahabusu mmoja aliyekuwa mahabusu ya mahakama ya wilaya ya Nyamagana na Mahakama ya Mwanzo iliyopo eneo la jirani na Mamlaka ya maji safi na Hifadhi ya Mazingira (MWAUWASA) jijini Mwanza alitoa vioja...
View ArticleDaraja la Dumila mkoani Morogoro lililopo barabara ya Dodoma - Morogoro...
Daraja la Dumila mkoani Morogoro lililopo barabara ya Dodoma - Morogoro limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo. Baadhi ya magari yatokayo upande wa Dodoma na...
View ArticlePicha za daraja la Dumila linalounganisha barabara za Morogoro na Dodoma...
Daraja la Dumila wilayani Mvomero, Morogoro likiwa limekatika baada ya kunyesha mvua kubwa. Wasafiri wakiwa eneo hilo la daraja baada ya safari zao kukwama. Mafuriko yaliyopelekea daraja hilo...
View ArticleMuonekano mpya wa msanii Wema Sepetu
Pichani juu na chini ni taswira za Wema Isaac Sepetu alizotupia katika ukurasa wake wa Instagram ambapo mojawapo aliandika hivi “For my baby… yes you…”. Mrembo huyu kwa sasa kimapenzi yupo na...
View ArticleGirlfriend wa mmiliki wa Chelsea ashambuliwa kwa kuonesha ubaguzi wa rangi,...
Mpenzi wa Billionaire ambaye ni mmiliki wa timu ya mpira wa miguu, Roman Abramovich, alichafua anga baada ya kupost picha inayomuonesha akiwa amekaa juu ya kiti chenye umbo la mwanamke mweusi tena...
View ArticleDiamond awapeleka shule ya kimataifa watoto walioshinda kucheza "Ngololo Style"
Hatimaye uwezo na utundu wa kucheza wimbo wa Diamond Platinumz ‘My Number One’ hususani mtindo wa Ngololo umewapa nafasi ya kusoma shule ya kimataifa watoto walioshinda katika shindano lililoendeshwa...
View ArticleRatiba ya mazishi ya Mbunge wa Chalinze, Said Bwanamdogo aliyefariki jana
Ratiba ya mazishi ya Mbunge wa Chalinze, Said Bwanamdogo aliyefariki jana <!-- adsense -->
View ArticleWizara ya Fedha yawapokea kwa shangwe Mwigulu Nchemba na Malima
Mawaziri walioteuliwa kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri waliripoti ofisini January 22 2014 ambapo taarifa hii inawahusu naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba alivyopokelewa na Wafanyakazi wa...
View ArticleWaziri Magufuli apiga kambi Morogoro kusimamia ujenzi wa daraja la Dumila...
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akiwa katika gari linaloendelea na ujenzi wa daraja la Dumila. Waziri Magufuli akitoa maelekezo kwa watendaji wa Tanroads. Sehemu ya barabara iliyozolewa na maji ya...
View ArticleMbowe kuitikisa kambi ya Zitto Kabwe
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, leo anatarajiwa kuwasili mkoani Kigoma kwa ajili ya kufanya mikutano ya Operesheni M4C Pamoja Daima. Mbowe ambaye atafanya...
View ArticleMsanii wa bongo movie asimulia jinsi alivyohongwa milioni 5 ili akubali...
Msanii anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa analaani mastaa wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na maumbile akidai kuwa wapo ambao wamekuwa wakifanya...
View ArticleMtoto aliyepigwa na baba yake kisa hafanani naye afariki
Mtoto Mwaru Lunard Sabil (9) aliyepigwa na kuumizwa vibaya na baba yake mzazi na kisha kulazwa katika Hospitali ya Wete, Pemba akipatiwa matibabu amefariki dunia na baba huyo anashikiliwa na polisi...
View ArticleCHADEMA yawasilisha pingamizi dhidi ya Zitto Kabwe
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha majibu na pingamizi la awali dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kuhusu Kamati Kuu ya Chama hicho akiitaka mahakama kuzuia...
View Article"Mawaziri mizigo tulimwachia Rais Kikwete.." asema Nape
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema haikutaka mawaziri walioshindwa kutimiza wajibu wao wa kuwatumikia Watanzania wafukuzwe, kwa kuwa mamlaka hayo yako kwa Rais Jakaya Kikwete, lakini kikaonya kuwa...
View ArticleTaarifa ya jeshi la Magereza juu ya habari ya "JK AMNUSURU MFUNGWA EPA "...
Gazeti la Tanzania Daima la tarehe 23 Januari, 2013 liliandika makalainayosomeka "JK AMNURUSU MFUNGWA EPA". Gazeti hilo lilidai mfungwa wa kesi ya ERA Ajay Somani ametolewa gerezani kwa njia ya...
View ArticleMwanamke wa miaka 48 , mkazi wa Rombo akamatwa na polisi kwa kufanya ngono na...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Aretas Joseph, (48), mkazi wa kijiji cha Lesoroma tarafa ya Useri, wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amehojiwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya...
View ArticleDiamond na Hamisa Mobeto wadaiwa kuwa ni Wapenzi wa muda mrefu....Wema Sepetu...
Hamisa Hassan Mobeto ambaye ni model na actress anayekimbiza katika tasnia ya filamu nchini anadaiwa kuwa mapenzini na Diamond Platinumz a.k.a Sukari ya warembo huku uhusiano wao ukidaiwa kuwa wa muda...
View ArticleMariam Ismail afunguka kuhusu madai ya kusagana na Irene Uwoya
Mastaa wa filamu nchini Mariam Ismail na Irene Uwoya wanadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi(usagaji) na kudaiwa kuishi pamoja . Wiki kadhaa nyuma muigizaji mmoja chipukizi anayekuja juu kwa kasi...
View ArticleUkatili... Baba Anchoma Amchoma Moto Mwanaye
Stori: Francis godwin, IringaHUU ni ukatili uliopitiliza! Wakati wanaharakati mbalimbali nchini wakiwemo wa Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) wakipinga vikali vitendo vya ukatili, baba wa kufikia,...
View Article