Daraja la
Dumila mkoani Morogoro lililopo barabara ya Dodoma - Morogoro limekatika
na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo.
Baadhi ya
magari yatokayo upande wa Dodoma na Moro yameamua kugeuza na kurudi
yalipotokea maana hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.
Kutokana na mvua hiyo, madarasa
katika Shule ya Msingi Magole, Dumila, Morogoro nayo
↧