Mtoto
Mwaru Lunard Sabil (9) aliyepigwa na kuumizwa vibaya na baba yake
mzazi na kisha kulazwa katika Hospitali ya Wete, Pemba akipatiwa
matibabu amefariki dunia na baba huyo anashikiliwa na polisi kutokana
na tukio hilo.
Baba huyo mkazi wa Junguni Gando, Pemba, anadaiwa
kumpiga na kumjeruhi vibaya mtoto huyo kwa madai kuwa hafanani naye
sura hivyo si mtoto wake.
Taarifa
↧