Msanii anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’
amefunguka kuwa analaani mastaa wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume
na maumbile akidai kuwa wapo ambao wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa
tamaa ya pesa.
Akiongea na gazeti la Ijumaa, Koleta alisema anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na kujidhalilisha kulikopitiliza.
“Wanaume siku hizi ni
↧