MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman
Mbowe, leo anatarajiwa kuwasili mkoani Kigoma kwa ajili ya kufanya
mikutano ya Operesheni M4C Pamoja Daima. Mbowe ambaye atafanya mikutano
katika wilaya zote za mkoa huo, anatarajia kupita kwenye ngome za
aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.
Hii
itakuwa mara ya kwanza, Mbowe kufanya
↧