Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Waziri Magufuli apiga kambi Morogoro kusimamia ujenzi wa daraja la Dumila lililosombwa na maji

$
0
0
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akiwa katika gari linaloendelea na ujenzi wa daraja la Dumila. Waziri Magufuli akitoa maelekezo kwa watendaji wa Tanroads. Sehemu ya barabara iliyozolewa na maji ya mto Mkundi. Waziri wa Ujenzi akikagua maeneo yaliyoharibika. Dk. Magufuli akiendelea na kazi katika daraja hilo. Kazi za ujenzi zikiendelea eneo hilo la daraja lililoharibika.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>