Mawaziri walioteuliwa kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri
waliripoti ofisini January 22 2014 ambapo taarifa hii inawahusu naibu
waziri wa fedha Mwigulu Nchemba alivyopokelewa na Wafanyakazi wa Wizara
ya Fedha jijini Dar es salaam.
Tukio hili lilifanyika nje ya Wizara ya Fedha ambapo Wafanyakazi
walijitokeza kuwalaki mawaziri wapya walioteuliwa na Rais Kikwete wiki
iliyopita
↧