Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha majibu na
pingamizi la awali dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
kuhusu Kamati Kuu ya Chama hicho akiitaka mahakama kuzuia uanachama
wake usijadiliwe hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa.
Kadhalika, chama hicho kimejibu barua ya Zitto pamoja na kuwasilisha
mwenendo wa shauri lililopelekea kuvuliwa nyadhifa
↧