Chama
Cha Mapinduzi (CCM), kimesema haikutaka mawaziri walioshindwa kutimiza
wajibu wao wa kuwatumikia Watanzania wafukuzwe, kwa kuwa mamlaka hayo
yako kwa Rais Jakaya Kikwete, lakini kikaonya kuwa hakitasita
kuwachukulia hatua kali iwapo watashindwa kurekebisha upungufu
uliolalamikiwa na wananchi.
Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi ya CCM, Nape Nnauye,
aliyasema
↧