Gazeti la Tanzania Daima la tarehe 23 Januari, 2013 liliandika makalainayosomeka "JK AMNURUSU MFUNGWA EPA". Gazeti hilo lilidai mfungwa wa kesi ya ERA Ajay Somani ametolewa gerezani kwa njia ya kutatanisha wakati wafungwa wengine waliokuwa kesi moja wanaendelea kusota gerezani.
Maelezo mafupi kuhusu suala hilo ni kwamba mfungwa Na. 74/2012 Ajay Suryakant Somani tarehe 22 Novemba, 2012
↧