Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Aretas Joseph, (48), mkazi wa kijiji cha Lesoroma tarafa ya Useri, wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amehojiwa na polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto wadogo wa kiume, wenye umri kati ya miaka 9 na miaka 14, jambo linaloelezwa kuwa ni shambulizi la aibu.
Akidhibitisha taarifa hiyo, kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro Robert
↧