Hamisa Hassan Mobeto ambaye ni model na actress anayekimbiza katika tasnia
ya filamu nchini anadaiwa kuwa mapenzini na Diamond Platinumz a.k.a
Sukari ya warembo huku uhusiano wao ukidaiwa kuwa wa muda mrefu.....
Chanzo kimoja kilichodai kuwa karibu na Hamisa
ambaye alishawahi kushiriki katika mashindano ya Miss Tanzania kiliuambia mtandao wa Swahiliworld kuwa Hamisa na Diamond
↧