Mpenzi wa Billionaire ambaye ni mmiliki wa timu ya mpira wa
miguu, Roman Abramovich, alichafua anga baada ya kupost picha
inayomuonesha akiwa amekaa juu ya kiti chenye umbo la mwanamke mweusi
tena akiwa nusu uchi.
Mbaya zaidi mrembo huyo anayejukana kwa jina la Dasha Zhukova,
alipost picha hiyo siku ya kumbukumbu ya Martin Luther King, January 20,
2014.
Katika picha hiyo
↧