Hatimaye uwezo na utundu wa kucheza wimbo wa Diamond
Platinumz ‘My Number One’ hususani mtindo wa Ngololo umewapa nafasi ya
kusoma shule ya kimataifa watoto walioshinda katika shindano
lililoendeshwa na mkali huyo katika tamasha lake la Christamas.
Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha zinazoonesha akiwakabidhi
watoto hao katika shule ya kimataifa ‘East Africa International
↧