Pichani juu na chini ni taswira za Wema Isaac Sepetu
alizotupia katika ukurasa wake wa Instagram ambapo mojawapo aliandika
hivi “For my baby… yes you…”.
Mrembo huyu kwa sasa kimapenzi yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
<!-- adsense -->