Uongozi wa jiji la Mwanza wachukua maamuzi magumu ya kuifunga shule ya msingi...
Uongozi wa Jiji la Mwanza jana ulilazimika kuchukua maamuzi magumu ya kuifunga Shule ya msingi Kiseke iliyoko jijini humo kwa muda usiojulikana baada kubainika kuwa shule...
View ArticleRais Kikwete alipowatembelea na kuwafariji wagonjwa Muhimbili
Huu ni moyo wa kipekee wenye kila aina ya huruma aliojaliwa Rais Wetu Mtukufu, Dr. Jakaya Kikwete.. Ilikuwa ni tarehe 28 mwezi uliopita ( Takribani siku 20 zilizopita ) ambapo...
View ArticleRais Kikwete amuozesha mwanaye, Miraji Kikwete
Shamra shamra na nderemo zilitawala jana kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City wakati Miraji Kikwete, mtoto wa Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete alipofunga ndoa na Alma Mahmoud. Sherehe hizo...
View ArticleMume amkata mkono mkewe....Kisa cha unyama huo ni mwanamke kukataa kwenda...
Ni mkasa wa kusikitisha kama siyo kutisha, unaowafanya wanaume wengi wa siku hizi waonekane ni makatili na majanga matupu mbele ya jamii. Kitendo hicho cha kinyama, kimemkuta mwanamke Leah...
View ArticleNasumbuliwa na tatizo la kujichua....Kwa siku napiga mara 3 mpaka 4 kiasi...
Rafiki yangu alinifundisha kujichua ( kupiga pul) , sasa nimeathirika na tatizo hilo nikiwa na umri wa miaka 20 tu. Nimeshafanya tendo hilo kwa muda mrefu.Kwa siku huwa napiga tatu mpaka 4 kiasi...
View ArticleRais Kikwete afanya uteuzi wa wa makatibu tawala wapya mikoa mitano na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumamosi, Januari 18, 2014, amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wapya wa mikoa mitano na kuhamisha makatibu tawala wengine...
View ArticleRais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri .....Hawa ndo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0 OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. 2.0...
View ArticleLoveness Diva, B12 na Adam Mchomvu warudishwa kazini Clouds Fm baada ya...
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha. Hamis Mandi ‘B 12’....
View ArticleSad News: Ajali yaua watu 13 eneo la Isuna mkoani Singida
Watu 13 wamefariki dunia baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Isuna mkoani Singida... Habari zaidi zinaarifu kuwa, ajali hiyo imehusisha gari aina ya Toyota Noah na lori ambayo...
View ArticleMwanajeshi FEKI atiwa mbaroni Tanga akitaka kumtapeli mkuu wa wilaya
'Koplo feki' akihojiwa wa Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano Semfuko. 'Koplo feki' wa JWTZ akiwa ofisini kwa Mkuu wa Wilaya. 'Koplo feki' akijiandaa kupanda kwenye gari kupelekwa...
View ArticleWadau wapinga Dk Shukuru Kawambwa kubakizwa Wizara ya Elimu...Wadai kufanya...
Baadhi ya wadau wa elimu wamesema kubakizwa kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa na kumwondoa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo hakuwezi kuleta...
View ArticleWatu 12 wa jamii ya Kimasai wafikishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji...
Wafugaji 12 wa jamii ya Kimasai wilayani Kiteto, katika Mkoa wa Manyara, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya wakulima tisa. Mwendesha Mashtaka Sajenti wa Polisi, Oscar...
View ArticleLettie Matabane ambaye ni Muigizaji maarufu wa Tamthilia ya Isidingo afariki...
Aliyekuwa muigizaji maarufu katika Tamthilia ya Isidingo The Need ya Afrika Kusini, Lesego Motsepe maarufu zaidi kwa jina la Lettie Matabane, amefariki dunia nchini mwake jana. Lettie, ambaye...
View ArticleNimetokea kumpenda baba mwenye nyumba nilipopanga, Ni mume wa mtu na ana...
Ndugu zangu, naombeni nisieleke vibaya.. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Nina mwaka wa kwanza tangu nianze kujitegemea mara baada ya kumaliza shule. Nimepanga kwenye nyumba moja iliyoko...
View Article"Baba yangu aliuawa nikiona kwa macho yangu....Nilipotaka kumsaidia,...
MTOTO mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Joyce Jeremia, 11,(pichani) amejeruhiwa vibaya katika mapigano ya wa kulima na Wamasai ambao ni wafugaji katika Kijini cha Laitini, Kiteto mkoani Manyara....
View ArticleMwigulu Nchemba awajibu watanzania wanaomponda baada ya kuteuliwa kuwa Naibu...
Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwigulu Nchemba, ambaye juzi alikuwa miongozi mwa manaibu waziri walioapishwa na Rais Jakaya Kikwete kushika nyadhifa zao amewaambia watu wanaoponda uteuzi wake kuwa...
View ArticleSad News: Ajali yaua wanafunzi wanne na kujeruhi wengine 20 asubuhi hii...
Taarifa tuliyoipata hivi punde ni kuhusu ajali ambayo imetokea asubuhi majira ya sa 12 huko Mtwara ambayo imehusisha wanafunzi wa Shule ya Secondary ya Mustapha Sabodo ambao walikua wanakimbia...
View ArticleRais Kagame anusurika kufa....Atangaza kuacha Urais, Uingereza yatakiwa...
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amenusurika kifo baada ya msafara wake nchini Kenya kupata ajali na kusababisha watu wawili kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Shirika la Habari la...
View Article"Mbwa Mwitu" sita wafikishwa mahakamani jijini Dar
Wakazi sita wa Dar es Salaam maarufu Mbwa Mwitu au waanzilishi wa kundi la Watoto wa Mbwa, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha. Wakili wa...
View ArticleSad News: Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo ( CCM ) afariki dunia
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne S. Makinda (Mb), anasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Saidi Ramadhani Bwanamdogo Kilichotokea leo Jumatano...
View Article