Ndugu zangu, naombeni nisieleke vibaya.. Mimi ni msichana mwenye umri
wa miaka 26. Nina mwaka wa kwanza tangu nianze kujitegemea mara baada
ya kumaliza shule. Nimepanga kwenye nyumba moja iliyoko maeneo ya Mbezi.
Tatizo langu ni kwamba nimetokea kumpenda sana baba mwenye nyumba wangu
ambaye ana watoto na familia. Kila nikijibaraguza siwezi.
Nimefanya kila mbinu kuzificha
↧