Aliyekuwa muigizaji maarufu katika Tamthilia ya Isidingo The Need ya
Afrika Kusini, Lesego Motsepe maarufu zaidi kwa jina la Lettie Matabane,
amefariki dunia nchini mwake jana.
Lettie, ambaye alijipatia umaarufu mkubwa katika tamthilia hiyo
kuanzia mwaka 1998 hadi 2008 alipoamua kuondoka, alikuwa akiishi na
virusi vya Ulimwi kwa zaidi ya miaka 15. Mwaka 2011, aliwashitua
↧