MTOTO mmoja aliyetambulishwa kwa jina la Joyce Jeremia, 11,(pichani)
amejeruhiwa vibaya katika mapigano ya wa kulima na Wamasai ambao ni
wafugaji katika Kijini cha Laitini, Kiteto mkoani Manyara.
Baba mdogo wa mtoto huyo Amos Njelu aliwasimulia waandishi wetu akiwa
katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi) amesema kuwa mtoto
huyo alijeruhiwa Jumamosi ya Januari 12, 2014
↧