RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amenusurika kifo baada ya msafara wake
nchini Kenya kupata ajali na kusababisha watu wawili kujeruhiwa vibaya.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Shirika la Habari la Uingereza
(BBC), imeelezwa kuwa ajali hiyo ilihusisha mojawapo ya magari ya
msafara wake nchini Kenya, alipokuwa kwenye ziara za kikazi.
Hata
hivyo, Rais Kagame hakujeruhiwa katika ajali
↧