Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ferooz atiwa mbaroni baada ya kunaswa akivuta bangi

NYOTA aliyetamba katika muziki wa kizazi kipya enzi hizo akiwa na Kundi la Daz Nundaz, Ferooz Mrisho, juzikati alikamatwa na polisi na kutupwa lupango katika Kituo Kidogo cha Mabatini, Kijitonyama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBS yaendesha oparesheni kataza kuuza nguo za ndani zilizotumika ( mitumba...

  Jana wafanyabiashara wa nguo za ndani wa soko la Karume hawakuimaliza vizuri siku hiyo  baada ya Shirikia la Viwango Tanzania[Tbs]kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Nchini kuendesha operesheni ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vibaka waivamia nyumba ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kuiba vitu...

NYUMBA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, inayotumiwa na mjane wake, Mama Maria na familia, imevamiwa na vibaka usiku na kuvunjwa.  Taarifa zilizofikia  jana zilibainisha kuwa vibaka hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baraza FEKI la mawaziri lazua mtafaruku....Wamo Prof Kabudi, Dk...

Joto la uteuzi wa Baraza la Mawaziri limeendelea kupanda hadi kufikia baadhi ya watu kuunda na kutangaza baraza ‘feki’ lililoibua mtafaruku kwenye jamii, kiasi cha kuwafanya wananchi kupiga simu chumba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tundu Lissu amsafisha Mbowe dhidi ya kashifa ya uzinzi inayomtafuna....

  KATIKA kile kinachoonekana kama kumsafisha Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe dhidi ya kashfa ya uzinzi inayomuandama, Mwanasheria Mkuu wa chama hicho,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mkapa amkabidhi Rais Kikwete vitabu vya hotuba za miaka 10 ya uongozi...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Umechangia historia ya nchi yetu, Rais Kikwete amsifu Mzee Mkapa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemsifu na kumpongeza Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania...

MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madereva bodaboda mkoani Mbeya wapora maiti kanisani na kuamua kuizika...

Kundi la vijana 60, juzi walipora mwili wa marehemu Gabriel Ngalele ukiwa unaombewa kwenye Kanisa la Tanzania Assemblies Of God (TAG) eneo la Uyole jijini baada ya kuchoshwa na ibada ndefu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi nchini Msumbuji yakanusha kuwakamata wanyarwanda wanne wanaotuhumiwa...

Polisi nchini Msumbuji wamekanusha madai kuwa wamewakamata watu wanaoshukiwa kumuua mkuu wa zamani wa ujasusi nchini Rwanda Patrick Karegeya.   Msemaji wa polisi nchini humo Joao Machava amesema kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mamtei ajifungua mtoto wa pili.....

Muigizaji wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike.   Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAISI Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa anatarajiwa kuwa Mgeni...

RAISI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 37 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda acharuka Kiteto....Ataka polisi wawasake wauaji, kesi ichukue muda mfupi

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameagiza wakazi wa Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara wanaolima kwenye Hifadhi ya Jamii ya Emboley Murtangos waridhie amri ya Mahakama ya Rufaa ya kuwataka waondoke kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hitilafu za mitambo zaipa Tanesco hasara ya mabilioni ya pesa

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema kutokana na hitilafu za mitambo hivi karibuni na kuanguka kwa nguzo kubwa mbili za vyuma kumelisababishia shirika hilo hasara ya Sh. bilioni 1.2 kwa Kahama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Safari ya Rais Jakaya Kikwete nchini Oman yazaa matunda

  SAFARI ya Rais Jakaya Kikwete nchini Oman imezaa matunda baada ya ujumbe wa wafanyabiashara wa nchi hiyo kutua nchini jana.   Lengo la ujumbe huo uliowakilishwa na watu 19 wakiwemo waziri mwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwigulu Nchemba aipigilia msumari kashifa ya kufanya mapenzi na wabunge wake...

WAKATI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakikimbilia katika magazeti ya udaku kumsafisha Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu kashfa yake ya ngono, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya CHADEMA juu ya wagombea udiwani kanda ya kaskazini.....

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA  KANDA YA KASKAZINI (Tanga, Kilimanjaro, Arusha & Manyara)TAARIFA KWA UMMA WAGOMBEA WA UDIWANI - KANDA YA KASKAZINITarehe 15 Januari 2014, wagombea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Loveness Diva wa Clouds Fm atangaza nia yake ya kugombea ubunge mwaka 2015

  Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.  "Natangaza nia ya kugombania ubunge 2015...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taswira za kikao cha kusomwa ripoti za CAG zilizopelekea Meya wa Bukoba...

Kutoka kushoto: Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Nassor Mnambila, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe, Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dkt Makongoro Mahanga...

NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dkt Makongoro Mahanga ameingia kwenye kashfa nzito ya kuvunja sheria za kazi nchini kwa kumfanyisha kazi msaidizi wake (PS) wa ofisi yake Bunge kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamatakamata ya Machangudoa yamkumba " bonge" ambaye ni mke wa mtu akiwa gesti

Kamatakamata na fumuafumua ya magenge ya biashara haramu ya ngono mjini Morogoro imemkumba bonge la jimama ambalo lilinaswa gesti likisubiri mteja. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo vijana wetu...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>