NYUMBA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, inayotumiwa na mjane wake, Mama Maria na familia, imevamiwa na vibaka usiku na kuvunjwa.
Taarifa zilizofikia jana zilibainisha kuwa vibaka hao walipitia upande wa ufukweni usiku wa manane, wakavunja dirisha na kuingia.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, vibaka hao walitoweka na televisheni, ambayo haikutajwa aina wala ukubwa na kompyuta ya
↧