Joto la uteuzi wa Baraza la Mawaziri limeendelea kupanda hadi kufikia baadhi ya watu kuunda na kutangaza baraza ‘feki’ lililoibua mtafaruku kwenye jamii, kiasi cha kuwafanya wananchi kupiga simu chumba cha habari kutaka kujua ukweli wa taarifa hizo.
Hii ni kufuatia mitandao ya kijamii kuchapisha taarifa za kutangazwa kwa Baraza hilo huku baadhi ya wananchi wakitumiana ujumbe mfupi wa simu
↧