Jana wafanyabiashara wa nguo za ndani wa soko la Karume
hawakuimaliza vizuri siku hiyo baada ya Shirikia la Viwango
Tanzania[Tbs]kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Nchini kuendesha
operesheni ya Kataza kuuza nguo za ndani ambazo zishatumika(mitumba).
Afisa Habari wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi Roida aliongea
na waandishi wa habari mara baada ya kukamata kwa marobota hayo ya
↧