NYOTA aliyetamba katika muziki wa kizazi kipya enzi hizo akiwa na
Kundi la Daz Nundaz, Ferooz Mrisho, juzikati alikamatwa na polisi na
kutupwa lupango katika Kituo Kidogo cha Mabatini, Kijitonyama jijini Dar
es Salaam, baada ya kukutwa akivuta bangi pamoja na vijana wenzake
kadhaa maeneo ya Sinza, karibu na Baa ya Meeda.
Habari zilizopatikana kutoka kwa mashuhuda, zilisema Ferooz
↧