Kamatakamata na fumuafumua ya
magenge ya biashara haramu ya ngono mjini Morogoro imemkumba bonge la jimama
ambalo lilinaswa gesti likisubiri mteja.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo vijana wetu walipata mwaliko maalum kutoka jeshi la polisi Moro kwa ajili ya
kufichua biashara hiyo haramu ambapo mwanamke huyo alinaswa kauchapa
usingizi chumbani huku kitandani kukiwa na kondomu
↧