NAIBU Waziri
wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dkt Makongoro Mahanga ameingia
kwenye kashfa nzito ya kuvunja sheria za kazi nchini kwa kumfanyisha
kazi msaidizi wake (PS) wa ofisi yake Bunge kwa miaka kumi bila mkataba
na kumlipa fedha taslimu shilingi laki mbili tu (200,000) kama mafao.
Naibu
Waziri, Mahanga anakuwa kiongozi wa kwanza kuingia kwenye kashfa akiwa
madarakani tena
↧