Muigizaji wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike.
Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya
upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi iliyopita, huku
akiwa amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Christopher John.
Akizungumza na Ijumaa, Mamtei alisema: “Namshukuru Mungu kwa
kujifungua salama, mwanangu anaitwa
↧