Polisi nchini Msumbuji wamekanusha madai kuwa
wamewakamata watu wanaoshukiwa kumuua mkuu wa zamani wa ujasusi nchini
Rwanda Patrick Karegeya.
Msemaji wa polisi nchini humo Joao
Machava amesema kuwa hakuna mshukiwa aliyezuiliwa kuhusiana na mauaji
hayo ya Patrick Karegeya ingawa kuna raia kadhaa wa Rwanda waliokamatwa
nchini humo.
Awali alinukuliwa akisema wanyarwanda kadhaa
↧