Kundi la vijana 60, juzi walipora mwili wa marehemu Gabriel
Ngalele ukiwa unaombewa kwenye Kanisa la Tanzania Assemblies Of God
(TAG) eneo la Uyole jijini baada ya kuchoshwa na ibada ndefu ya
mchungaji.
Ibada hiyo ilikuwa ikiendeshwa na Mchungaji,
Edward Mtweve wa kanisa hilo ambaye alijikuta kwenye mazingira magumu
baada ya vijana hao wanaodaiwa kuwa ni madereva wa pikipiki
↧