RAISI
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia
ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi
katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho
zitakazofanyika kitaifa Mkoani Mbeya.
Akitoa
taarifa kwa waandishi wa Habari katika Mkutano uliofanyika katika
Ofisi za Chama hicho Mkoa zilizopo Sokomatola Jijini
↧