WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameagiza wakazi wa Wilaya ya Kiteto,
mkoani Manyara wanaolima kwenye Hifadhi ya Jamii ya Emboley Murtangos
waridhie amri ya Mahakama ya Rufaa ya kuwataka waondoke kwenye eneo hilo
wakati serikali ikitafuta ufumbuzi wa suala la wapi watakwenda.
“Wakazi walioko kwenye hifadhi ni lazima watii amri halali ya
Mahakama ya Rufaa na waondoke katika eneo husika.
↧