Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema kutokana na hitilafu za mitambo hivi karibuni na kuanguka kwa nguzo kubwa mbili za vyuma kumelisababishia shirika hilo hasara ya Sh. bilioni 1.2 kwa Kahama na Sh. milioni 200 kwa Ubungo.
Hitilafu hizo zilitokea katika vituo vya Sokoine na Ubungo jijini Dar es Salaam.
Kadhalika, shirika hilo liko mbioni kufanya mabadiliko ya utendaji kwa
↧