CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA KANDA YA KASKAZINI (Tanga, Kilimanjaro, Arusha & Manyara)TAARIFA KWA UMMA WAGOMBEA WA UDIWANI - KANDA YA KASKAZINITarehe 15 Januari 2014, wagombea wafuatao wa CHADEMA walipitishwa na TUME YA UCHAGUZI kuwania nafasi za uwakilishi (UDIWANI) katika maeneo ya kata mbalimbali za kanda ya Kaskazini.Wagombea hawa walipita katika mchujo wa uteuzi wa chama.
↧